Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

BAYERN MUNICH YALALA 2-1 KWA REAL MADRID

Cristiano Ronaldo amemaliza ukame wa miezi saba kwenye ligi ya mabingwa Ulaya baada ya kuandika magoli mawili katika mchezo ambao Bayern Munich wamepoteza kwa magoli 2-1 dhidi ya Real Madrid.
Kwa sasa anafikisha magoli 100 na kuendelea kuwa kinara wa ufungaji Ulaya
Arturo Vidal alipachika goli la kwanza lakini akakosa nafasi ya kuandika goli la pili baada ya kupaisha mkwaju wa penalti alioupiga.
Javi Martinez alilimwa kadi mbili za njano na kuwa nyekundu. Bayern walitawaliwa baada ya kadi nyekundu na kujikuta muda mwingi wakiwa wanatafuta mpira.
Mlinda mlango Manuel Neuer, aliokoa mikwaju ya hatari ikiwemo ya Gareth Bale, Karim Benzema na Ronaldo.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top