Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

ROMA MKATOLIKI APATIKANA...



Habari zilizotufikia hivi punde kutoka kwa sosi wetu zinasema kuwa akina Roma Mkatoliki wamepatika na wako Katika Kituo cha Polisi cha Osterbay na wako salama salimini.



Hivi karibuni Kumekuwa na Taarifa zilizozangaa kila kona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao mbalimbali ya kijamaii kuwa Mwanamuziki wa miondoko ya Hip Hop Roma Mkatoliki na wenzie wanne walitekwa na watu wasiojulikana wakiwa studio ya Tongwa record.
Tutaendelea kuwajulisha kwa hatua kitakachoendelea.

HII HAPA NGOMA YA DAMU TULIZA MOYO

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top