Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

BINTI MREMBO MWENYE UMRI MDOGO (16) ANATAMANI MUME KULIKO DEGREE...


"... Natamani kuolewa Haraka mara tu baada ya Mtihani wa WAEC..."

Ni maneno ya Binti mrembo mwenye umri usiozidi miaka kumi na sita tu (16) akisema kuwa mume ni bora kuliko Degree.

Binti mdogo mwenye umri usiopungua miaka kumi na sita (16) anayetambulika kwa jina la Idongesit Martins, ameweka wazi hisia zake za dhati katika mtandao wa Facebook kwamba baada ya mtihani wake wa  West African Examination Council (WAEC) anatamani kuolewa moja kwa moja kwani anaona kuwa Mume ni bora kuliko Shahada.


Hebu  ipe maoni yako, unadhani Idongesit yuko sahihi kuweka wazi hisia zake hizo kulingana na Umriwake mdogo, na je, ni kweli Mume ni bora kuliko Degree?..



BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top