Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

BONGO MOVIE WAPATA MSIBA MWINGINE

Adam Kuambiana

Msiba Bongo Movie.
msanii machachari wa filam Bongo Adam Kuambiana amepata msiba mkubwa uliotokea jana katika Hospitali ya mwananyamala.
kwa mujibu wa habari ambazo ni za uhakika, Adam amefiwa na mdogo wake aitwaye Patrick Kuambiana amabaye ni mdogo wake aliye muachia ziwa nikiwa na maana kuwa baada ya Adam kuzaliwa alifuata Patrick.
chanzo chetu kinasema kuwa Patrick Kuambiana alikuwa amelazwa katika Hospitali ya mwananyamala kwa siku kadha na jana ndio ameaga dunia.
mwili wa Patrick kuambiana unakwenda kuhifadhiwa leo katika nyumba yake ndogo ya milele (Anazikwa leo).
Adam Kuambiana (kushoto) Zamaradi Mketema (wa pili kushoto) Tini na JB
MO DESIGN tunatoa pole kwa familia nzima ya kuambiana na mungu ailaze pema roha ya mpendwa wetu Patrick Kuambiana.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

© Copyright MO Design
Back To Top