Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MAM'DOGO LISA SEHEMU YA 24... BOFYA KUSOMA KISA HIKI...


                                                        ILIPOISHIA SEHEMU YA 23

...alikuwa akikiingiza na kukitoa na huku akizunguusha kiuno. hali hiyo ilimfanya mzee huyo kupata raha za ajabu na huku akijitahidi kulazimisha mchapio uingie wote kwa kumshika Hasina kiuno na kumvutia kwake lakini Hasina akawa anajizuia na ukizingatia kuwa yeye ndio aliyekuwa juu, kwa hiyo alikuwa akijipimia. Mzee bisu alikuwa hoi kwa utamu, alikuwa akihema kwa nguvu mpaka Hasina akaanza kuogopa, lakini hakumuachia nafasi aliendelea kumpa vitu.
haikuchukuwa dakika mbili ukasikika muungurumo toka kinywani kwa mzee bisu.
"... aghrrrrrrrrrrrr...."
 

                                                      NINI KIMETOKEA?.. 

                                          SASA ENDELEA NA SEHEMU YA 24

... Muungurumo huo haukuwa wa maumivu hapana, ulikuwa ni muungurumo wa utamu kuzidi kwani mzee wa watu alikuwa akivunja dafu huku akiwa amekaliwa juu na Hasina aliyekuwa akiendelea kumpagawisha. alijitupa huku mwili ukiwa umemuisha nguvu baada ya kuvunja dafu lake Hasina alijinasua mwilini kwa mzee huyo akaanza kumfuta taratibu kisha akajilaza pembeni kwa mzee huyo akiwa anamuangali usoni mzee wa watu alivyokuwa akihema.
..." hivi we mtoto mtoto nani alikufundisha mambo haya?.. mbona unajua mambo makubwa sana tofauti na umri wako?.."
Hasina hakumjibu kitu zaidi ya kutabasam na kuendelea kumtazama alivyokuwa akihema. akajiinua taratibu kutoka pale kitandani akajifunga kanga yake moja huku akiwa hajavaa chochote ndani, akachukuwa sabuni kisha akauendea mlango na kutoka sebuleni, alipopiga hatua ya kwanza na ya pili macho yake yakakutana mjoja kwa moja na macho ya Dennis aliyekuwa kasimama sebuleni akishangaa kutomkuta mtu yeyoye ndani humo.

                                                                       ****************

kule chumbani alikobaki mzee Bisu alikuwa akisikia yote waliyo kuwa wakiongea Hasina na Dennis, alikurupuka pale kitandani na kuanza kuvaa nguo zake harakaharaka akaanza kuhaha kutafuta wapi ajifiche endapo mwanaye huyo ataamua kuingia chumbani kwa Hasina, hakuona wapi ajifiche maana katika chumba cha hasina ambacho ni chumba cha mfanyakazi wa ndani, hakikuwa nakitu chochote zaidi ya kitanda na kijimeza kifupi wakati pembeni kwenye kona kukiwa na kapu kubwa ambalo Hasina alilitumia kuwekea nguo zake na huku zile safi akizipanga tu juu ya hicho kimeza. mzee bisu alipoona hana pa kujificha aliamua kwenda kusimama mlango kwa malengo ya kujificha nyuma ya mlango endapo tu mlango utafunguliwa.
lakini pia alipokuwa pale mlangoni, alijikuta akianza kupatwa na hasira baada ya kusikia maongezi hayo kuwa yalikuwa na aina fulani ya kutakana kimapezi. wivu ulianza kumsumbua kwani aliona kila dalili ya mwanaye Dennis kumtaka Hasina kimapenzi. akaanza kutamani kutoka ili akamuonye kabisa mwanaye asithubutu kuingia kwenye anga zake, lakini baadaye akakumbuka kuwa kufanya hivyo ni kutoa siri yake ambayo hakutaka kabisa mtu yeyoye aijue, akaamua kutulia na kuendelea kusikiliza, lakini ghafla aliuona mlango ukifunguka kwa kasi na Hasina akaingia moja kwa moja na kuanza kutafuta alikomuacha pale kitandani.
"... Hasina..." aliita mzee bisu kutokea pale nyuma ya mlango.
Hasina aliyekuwakapigwa na butwaa baada ya kutomuona mtu aliyemuacha kitandani katoweka, aligeuka na kukutana na uso wa Mzee Bisu ukichungulia toka nyuma ya mlango.
"... njoo utoke haraka mwanao kesharudi..." alisema Hasina huku akimuendea na kumshika mkono akaanza kumvutia nje.
'... sasa ntatokaje wakati unasema karudi?.. alihoji mzee Bisu huku akigoma kutoka.
"... ameingia chumbani kwake, fanya haraka..." aliendelea kuongea Hasina hukuakiendelea kumvuta.
mzee bisu alisogea mlangoni akachungulia hakuona mtu pale sebuleni hakuona mtu, akatoka haraka na nakuongoza kwenye korido ya kuingilia chumbani kwake, lakini kabla hajafika akakutana uso kwa uso na mwanaye Dennis ambaye naye alikuwa akitokea chumbani kwake.
NINI KITAENDELEA?

ENDELEA KUFUATILIA SEHEMU YA 25

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright 2025 MO Design | Designed By Code Nirvana