Katika tukio la kigadi ambalo lInaendelea huko Kenya ndani ya Super market ya WEST GATE SHOPPING MOLL inasadikika kuwa watu 59 wamefariki dunia na wengine150 kujeruhiwa, na ambapo wtu 1000 wameshafanikiwa kutoka ndani ya mjengo huo wakiwa salama.
Rais Uhuru Kenyata wa Kenya alipoongea kupitia televisheni amesema tukio hili limemuathiri hata yeye pia kwani amepoteza baadhi ya watu ambao wako katika familia yake. hivyo lazma wataafutwe wote ambao wako nyumaya tukio hili la kighaidi waewe adhabu.

wanajeshi wa Kenya wakiwa tayari kwa aajili ya kukabiliana na tulio hilo
Mmoja wa majeruhi wa tukio hilo la kigaidi

Askari polisi akivizia huku akiwa na silaha yake tayari
Mtukio kama haya tumezoea kuyaona kwenye sinema lakini sasa tunayaona laivu bila chenga, hii ni hali ya hatari sana.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.