Mwaka 1987 Rais wa Marekani Barak Obama akiwa na umri wa miaka 26, aliitembelea ardhi au nchi ya baba yake kwa mara ya kwanza kabisa.
Alikutana na kaka zake, dada zake na bibi yake pia. mwenyewe akasema kuwa safari yake hiyo ilikuwa ya kubadilisha maisha yake na pia kujiunganisha na tamaduni za kiafrika.
hizi hapa picha alizopiga na ndugu zake wote
Endelea kufuatilia modesigntz beste wangu wa ukweli, nami nitaendelea kukuhabarisha kwa kila habari inayonifikia.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.