kutokana na katuni iliyochorwa katika magazine ya Charlie Hebdo huko ufaransa ikisemekana ni katuni ya Mtume Muhammad (S.W.A), imesababisha vurugu kubwa na maafa huko Niger katika mji wa Zinder.
habari zinasema baada ya sala ya ijumaa waislam wenye hasira kali waliingia mitani na kufanya maandamano ambapo walichoma Bendera ya Ufaransa na kuchoma maduka yanayosadikika kuwa ya wakristo.
waandamanaji hao ambao ni waislam wenye hasira kali, walivamia jengo la makumbusho ya ufaransa na kuchoma Bendera. lakini pia waliingia mitaani na kuchoma maduka ya wakristo na kuchoma kabisa makani ya wakristo.
habari zinasema kuwa polisi walijaribu kuzuia vurugu hizo kwa kutumia maji ya mabomu ya machozi na maji ya kuwasha lakini hali iliendelea kuwa tete.
habari zinasema kuwa katika vurugu hizo watu watatu wamepoeza maisha ikiwemo na polisi mmoja.
ikiwa na maana kuwa ni watu wanne waliopoteza maisha.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.