Mgombea wa chama tawala cha Patriotic Front, Edgar Lungu ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zambia.
Kwa mujibu wa Tume ya uchaguzi nchini humo imesema kuwa Lungu ambaye alikuwa Waziri wa ulinzi wa nchi hiyo amepata asilimia 48 ya kura zilizopigwa na alikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mgombea wa upinzani Hakainde Hichilema.
Uchaguzi huo uliandaliwa kufuatia kifo cha rais Michael Sata ambaye alifariki dunia mwezi Oktoba mwaka jana na nafasi hiyo kushikiliwa na Guy Scott.
Ekufuatilia modesigntz beste wang wa ukweli na mi ntaendelea kukujuza kila kinachonifikia
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.