Mashuhuda wa tukio hilo wamesema ajali hiyo imesababishwa na gari lililokuwa linatokea Kawe kuelekea Kariakoo lililokuwa linafuka moshi na kusababisha njia nzima kujaa moshi na hivyo kusababisha magari hayo kugongana na kuangukia bondeni.
Chanzo kutoka eneo la ajali kimesema majeruhi wengi wamepelekwa hospitali ya Mwananyamala na Muhimbili ambapo hali zao zilikuwa hazijulikani wakati mtandano huu unaingia mtamboni.
Endelea kufuatilia modesigntz Beste wangu na mimi ntaendelea kukuwekea kila habari inayotua kwenye meza yangu...
USISAHAU PIA KU LIKE PAGE YETU ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU MOJA KWA MOJA
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.