Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

HOUSEGIRL MWENGINE ANASWA NA CAMERA NCHINI KENYA KAMA YULE WA UGANDA... ONA VIDEO...

dsc_9730



Mwaka jana kuna tukio lililoshtua wengi duniani na kuzungumziwa sana kwenye vyombo vya habari kuhusu msichana Jolly Tumuhiirwe wa Uganda, aliyemfanyia ukatili mtoto wa bosi wake Arnella mwenye umri wa mwaka mmoj na nusu kwa kumpiga vibaya baada ya kukataa kula chakula.
Wakati hilo halijasahaulika tukio linalokaribia kufanana na hilo limetokea tena Kenya.. msichana ambae anafanya kazi za ndani amekutwa akilazimisha kumnyonyesha mtoto wa bosi wake.
Msichana huyo Grace Mwikali Mwema amekutwa akifanya kitendo hicho siku mbili tangu aanze kazi japo jaribio lake halikufanikiwa kwa kuwa mtoto alikataa kunyonya.
Mama wa mtoto huyo amesema aligundua kitendo hicho kutokana na camera aliyoitega nyumbani kwake na akuunganisha na simu yake ya mkononi.
Msichana huyo anashikiliwa na Polisi akisubiri kupandishwa kizimbani.
Hii ni video ambayo inaonesha tukio lote…

Endelea kuperuz modesigntz, beste wangu na mimi ntaendelea kukuwekea kila s stori inayonifikia

 USISAHAU KU LIKE PAGE YETU ILI KUPATA HABARI ZAID

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top