Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

RAMBO NA MUHAMMED ALI WASHINDANA PAMBANO LA NGUMI LA MYWEATHER NS PSCQUIAO...


Mcheza sinema maarufu duniani Sylvester Stallone 'Rambo' na bondia Manny Pacquiao.
MCHEZA sinema maarufu duniani wa Marekani, Sylvester StalloneRambo’ Mzee wa The Expendables, amesema bondia Floyd Mayweather atashinda katika pambano dhidi ya bondia Mfilipino, Manny Pacquiao litakalofanyika Mei 2 mwaka huu.

Mabondia wa ngumi za uzito wa juu zaidi duniani, Floyd Mywether na Manny Pacquiao wanaotarajia kupanda uliongoni kuoneshana ubabe tarehe 2, Aprili mwaka huu.

 
Mcheza sinema maarufu duniani Sylvester Stallone 'Rambo' na bondia Manny Pacquiao.
Hata hivyo, mtangazaji wa mapambano ya ngumi, Larry Merchant, alitofautiana na Rambo aliposema kwamba yeye anaweka kete zake kwa Pacquiao kushinda pambano hilo.
Pambano hilo ambalo ndiyo ‘gumzo la mjini’ limeonyesha pia kwamba bondia maarufu wa zamani, Muhammad Ali, amesema mshindi atakuwa Pacquiao. Hii ni kwa mujibu wa binti yake aliyewaambia waandishi wa habari. Binti huyo, Laila, naye ni bondia Mmarekani ambaye alistaafu bila kushindwa.

BOFYA LIKE KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright 2025 MO Design | Designed By Code Nirvana