Video ya Wimbo unaokuja juu katika medani ya Nyimbo za Injili " Kesho" iliyoimbwa na mwimbaji anayekuja juu na anayefuata nyendo za Rose Muhando na Marehemu Angela Chibaloza, Beatrice Kitauli, imeachiwa na sasa inapatikana katika mitandao mbalimbali ya kijamii na kwenye tv mbali mbali ikiwemo zile za online ka MO Design tv.
Wimbo wa Kesho ambao ulikuwa unaendelea kutamba kwenye vituo mbalimbali vya radio, Beatrice alimshirikisha mmoja kati ya ma Roll Model wake Rose Muhando a.k.a Malkia wa Gospel Music.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.