Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MAM'MDOGO LISA SEHEMU YA 14

ILIPOISHIA SEHEMU YA 13

... Ukweli sio kwamba alikuwa anahitaji maji ila alitaka tu amuone Hasina amlinganishe tena na kile alichomfanyia muda mfupi uliopita. mpaka sasa alikuwa bado anashindwa kumpatia picha Hasina kulingana na udogo wake na mambo yake ya falagha yalivyokuwa makubwa.
"... Hasinaaa!!!...aliita Bi. Pauline
"... beee... sauti ya Hasina ilisikika kutokea jikoni..."

SASA ENDELEA NA SEHEMU YA 14

... Mapigo ya moyo yalianza kumuenda mbio Hasina baada ya kusikia wito wa Bi. Pauline, hakujua anaitiwa kitu gani, alikuwa na wasiwasi mkubwa wa kugundulika uzinzi alioufanya yeye na mzee Bisu. alitembea taratibu kuelekea sebuleni, alipotokezea mlangoni alikutana moja kwa moja na macho ya mzee bisu aliyekuwa kaukodolea macho mlango wa jikoni akisubiria kumuona yeye, kitendo cha kumuona mzee bisu akiwa amekaa na mkewe pia kilimuongezea wasiwasi kwani aliamini pale anaitiwa kutoa ushahidi baada ya mzee Bisu kuhojiwa na mkewe lakini yeye akawa mbishi, alikuwa akitembea taratibu na kwa uoga huku akiwa macho yake kamkodolea mzee bisu kuangalia labda kuna ishara yoyote atakayopewa lakini aliambulia tabasamu jepesi lililoupamba uso wa mzee huyo. alipogeuza macho yake kumuangalia Bi. pauline aligundua kuwa mama huyo wala alikuwa hajishughulishi naye wala mzee Bisu. kidogo alianza kupata ahweni.
"... nenda kamchukulie baba'ako maji kwenye friji,..aliongea Bi. Pauline bila hata kumuangalia.
Hasina aligeuka na kuelekea sehemu ambapo friji lipo lakini kabla hajalifikia na akiwa tayari yuko nyuma ya Bi. pauline, aligeuka kumuangalia mzee Bisu, ni kama alivyokuwa anafikiria kwani alikutana na macho ya mzee huyo yakiwa yanamuangalia katika maeneo yake ya nyuma na huku uso wake ukiwa umepambwa na tabasamu. na yeye alitabasamu kidogo kisha akaliendea friji na kuchukuwa chupa ya maji baridi na glasi akarudi mpaka pale walipokaa mzee bisu na mkewe akaliweka lile chupa mezani, akalifungua na kisha akamimina maji ndani ya glasi na kumkabidhi mzee Bisu ambaye muda wote huo alikuwa bado akimuangalia. alipiga goti chini kwenye zulia na kuunyoosha mkono wake kumpa maji mzee huyo huku akijiepusha kutazamana naye machoni.
"... Hasina,.." Bi. Pauline aliita.
Hasina nusura aanguke kwani alishituka vibaya mpaka Bi. pauline akagundua kuwa amemshituwa.
"... he?.. mbona umeshituka hivyo..."
"... ah.. hamna kitu..."
"sasa kilichokushitua hivyo ni nini wakati mimi nimekuita kawaida tu..." aliendelea kuhoji Bi. Pauline
"... hapana mama, ni... unajuwa nilikuwa naifikiria sinema niliyoangalia nilipokuwa peke yangu hapa sasa ulivyo niita nikajuwa ndo tayari zamu yangu..." aliongea hasina kwa kirefu katika kujaribu kuficha kilichomshitua.
wakati huo mzee bisu naye alikuwa kaacha kunywa maji kwani alikuwa kanywa nusu tu ya glasi hiyo ndio Bi. Pauline akaliita jina la hasina, hata yeye alishituka kwani alipokuwa anakunywa maji macho na akili yake vyote vilikuwa kwa Hasina, laiti kama Bi. Pailine engekuwa makini angeugundua mshituko alioupata mzee Bisu pia.
Bi. Pauline alicheka baada ya maelezo ya Hasina.
"... nyie watoto wa siku hizi mna matatizo sana, sasa wewe nani amekuambia uangalie misinema ya kutisha..."
Hasina hakujibu neno badala yake alitabasamu tu kisha akainuka na kuingia chumbani kwake akiwaacha mzee Bisu na mkewe wakiendelea na mambo yao.

                                                                                              *********************

ilikuwa asumbuhi mapema yaani alfajiri ya saa kumi na moja, mzee bisu huwa na kawaida ya kuamka muda huwo na kufanya mazoezi, mara nyingi mazoezi yake huwa ya kukimbiakimbia, huwa anatoka kabisa nje ya geti nakukimbia akizunguuka kutokea pale getini kwake mpaka mwisho wa mtaa huo na kurudi palepale huwa anafanya hivyo mara kadhaa mpaka pale atakapojisikia kuchoka ndio anarudi ndani na kunywa maji mengi kisha anakaa kusubiria muda wa kwenda kazini.
lakini siku hiyo kidogo ilikuwa tofauti, alipoamka alimkagua kwanza mkewe kama amelala au kama yuko macho,baada ya kujihakikishia kuwa alikuwa usingizini aliamka taratibu akavaa nguo zake za mazoezi na kutoka taratibu huku akihakikisha kuwa hafanyi kitu chochote kitakachomshitua mke wake na kumfanya aamke. alipofungua mlango wakutokea chumbani kwake alikwenda moja kwa moja kwenye mlango mkubwa wa kutokea nje akaufungua, baada ya kuufungua alirudi ndani lengo la lilikuwa kuwazubaisha wote waliolala mle ndani wajue kuwa mlango umefunguliwa na mtu ametoka na wote wanajua kuwa mtu ambaye hufungua mlango kila siku mida hiyo huwa ni mzee Bisu kasoro siku za juma pili. kwa hiyo kwa kufanya hivyo watu wote wanaamini kuwa ametoka na kwenda kwenye mazoezi lakini kumbe yuko ndani humo. baada ya kuufungua na kuurudishia mlango kwa kufanya kama anaubamiza bila kutoka nje mzee bisu alianza kutembea kwa kunyata ili mtu yeyote aliye macho kwa muda huo asijue kuwa sebuleni hapo kuna mtu anatembea kwani watu walishaamini kuwa ametoka. alinyata kuelekea mlango wa chumba chaHasina.....
ITAENDELEA...
USIKOSE SEHEMU YA 15

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

© Copyright MO Design
Back To Top