Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MELI YA KISASA YA AZAM YATIA NANGA KWA MARA YA KWANZA TANGA


TANGA: Meli mpya na ya kisasa iitwayo AZAM SEALINK 2 aina ya RORO yenye uwezo wa kubeba abiria wapatao 1650, mizigo uzito wa tani 717 sambamba na magari 150 imetia nanga kwa mara ya kwanza katika Bandari ya Tanga leo, Januari 30, 2017.
Meli hiyo inatarajiwa kufanya safari zake na kutoa huduma za kubeba abiria na mizigo ikiwemo magari kutoka Pemba kwenda Unguja hadi Tanga mara moja kwa wiki.


Meli hiyo inatarajiwa kupunguza adha ya uisafiri katika bandari hiyo sambamba na kurahisisha usafirishaji wa mizigo, magari pamoja na abiria kupitia Bandari ya Tanga.



KAMA HUJAIONA VIDEO YA MADHARAU, HII HAPA NIMEKUSOGEZEA...





BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top