"Yesu aibukia Rwanda.." ndivyo watu walivyokuwa wanasema...
Mtu mmoja mzungu aliyefafa na yule wa kwenye picha ya Yesu ameibuka kutokea mpakani mwa Congo DRC na kuingia Nchini Rwanda.
Mtu huyo amabaye jina lake halijafahamika, alitokea mpakani mwa Congo na kuingia Rwanda huku akiwa kavalia vazi la kanzu na kufunga kamba kiunoni kama alivyokuwa akivalia Yesu kwenye sinema zioneshavyo.
Yesu huyo aliingia nchini Rwanda huku akifuatwa na watu wengi sana kutokea Congo na kuungana na wengine wa Rwanda hivyo kusababisha watu kuwa wengi sana kama enzi zile za Yesu alipokuwa akifundisha na kufuatwa na watu wengi...
Polisi nchi Rwanda walimkamata na kumuomba vitambulisha vyake ambapo Yesu huyo alikuwa amejikamilisha kwa pasi ya kusafiria na kila kitu hivyo polisi wakashindwa kumzuia kutokana na uoga waliokuwa nao kuhusu Yesu huyo na pili ni kuwa alijikamilisha na hivyo kuendelea na safari ya ambapo hivi sasa yuko njiani kuelekea nchini Burundi
Sosi: Kavuyo MO Design Rwanda
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.