Kiongozi wa upinzani nchini Rwanda, Diane Rwigara, mama yake na dada yake, wamekamatwa tena na pilosi kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Kigali.
Polisi wanasema kuwa kando na makosa ya ulaghai na kukwepa kulipa kodi, watatu hao walikuwa ni tisho kwa usalama wa nchi na wanazuia uchunguzi.
Diane Rwigara, Mama yake pamoja na Dada yake, walikamatwa kutoka nyumbani kwao mwezi uliopita na kutokulikana waliko, lakini baadaye polisi walikiri kuwa walikuwa wamewakamata na wako salama.
Diane na wenzake waliachiliwa huru. Wiki iliyopia wafuasi wa upinzani walishtakiwa kwa kujaribu kupindua serikali ya Rwanda.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.