Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

KIFAA KIPYA CHA KUNYWEA BIA - KINAFANYA BIA IWE NA LADHA YA MAZIWA

MC. BABU AYUBU
Tunaweza kusema kuwa ni UCHIZI au KACHANGANYIKIWA lakini sio ni Style yake mpya ya kunywa bia kwa kutukia nyonyeo ya kunyonyeshea watoto.
Huyu sio chizi bali ni Msani maarufu na muigizaji wa sauti za watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali, MC. BABU AYUBU.
Ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa nguli wa sinema nchini Steven Kanumba ambapo watu wengi walihudhuri ikiwemo wasanii wa hapa nchini na wengine kutoka Ghana walioongozwa na mwanamitindo Miriam Odemba.
wasanii wengi siku hiyo walionekana wastaarabu ila Huyu hapa tu ndo aliingia na style yake hii ya kunywea bia kwenye nyonyeo. ambayo mwenyewe anakuambia kuwa inamfanya aisikie bia kama mziwa vile.
WABURUNDI WALIOUDHURIA KATIKA SIKU YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA KANUMBA
siku hiyo iliudhuriwa na watu wengi na kutoka nchi mbalimbali kama vile Burundi na kwaingine.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

© Copyright MO Design
Back To Top