Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

TUKIO LA KIHISTORIA - KOBE HUPANDANA BAADA YA MIAKA MIWILI.


Inasemekana kuwa tukio hili huwa ni nadra sana kuonekana kwa macho ya binaadamu kwa vile huwa ni adimu sana kutokea...
tukio hili la kihistoria limetokea maeneo ya mbezi beach ambapo kulikuwa na tukio la upigaji picha wa sinema mpya ya The process. walikuwa wamegandana kama inavyoonekana kwenye picha lakini baada ya kuona watu wakiwasogelea kwa karibu waliachana na kila mmoja kuelea kuelekeo wake.
akiongea na MODesign, mtu mmoja alisema kuwa, kitendo kile akikutakiwa kusitishwa kwa vile ni kitendo ambacho hutokea mara moja ndani ya miaka miwili, hivyo kama walikuwa hawajamaliza haja zao ndio basi tena, hawakupaswa kabisa kukatishwa starehe yao. " hamkutakiwa kuwasogelea, bora mngewatazamia kwa mbali ili wamalize kile walichokuwa wanakifanya kwani hapa hawawezi tena kufanya mpaka baada ya miaka miwili"
aliongea mtu huyo akiwalaumu waliokuwa wakiwasogelea kobe hao wakati wakipeana maraha.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

© Copyright MO Design
Back To Top