Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MAIMATHA ATANGAZA FORM ZA KIGOLI MANYWELE WA EXTRA BONGO

MAIMATHA JESSE (Pic: MODesign)
Mtangazaji maarufu wa vipindi vya muziki wa Bolingo Maimatha Jesse, ametangaza kuanzisha shindano linalofanana na lile la kimwana manywele.
akiongea na Kachero wa MODesign jana katika Show ya Extra Bongo wazee wa Kizigo, Maimatha amesema kuwa shindano hili litaitwa KIGOLI MANYWELE WA EXTRA BONGO.
Amesema shindano hili litakuwa tofauti kidogo na lile la Kimwana Manywele kwa vile kuna baadhi ya vitu vimeongezwa ambavyo washiriki wanatakiwa kuvizingatia.
Akiongea kwenye jukwa la Extra Bongo katika show iliyofanyika Viwanja vya Garden Breeze
Maimatha amesema kuwa wale wote amabao watahitaji kushiriki, wanatakiwa kuanza kuchukuwa form kuanzia sasa.
amesema kuwa form hizo zinapatikana kila mahali ambapo Bendi ya Extra bongo watakuwa wakifanya show.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

© Copyright MO Design
Back To Top