Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MAM'DOGO LISA SEHEMU YA 15







ILIPOISHIA SEHEMU YA 14

Baada ya kuufungua na kuurudishia mlango kwa  kufanya kama anaubamiza bila ya kutoka nje mzee bisu alianza kutembea kwa kunyata ili mtu yeyote aliye macho kwa muda huo asijue kuwa sebuleni hapo kuna mtu anatembea kwani watu walishaamini kuwa ametoka. alinyata kuelekea mlango wa chumba cha Hasina...

SASA ENDELEA NA SEHEMU YA 15

... Alinyata taratibu huku akiangalia huku na huku kama kutakuwa na mtu yeyote ambaye anaweza akajitokeza muda huo, alipoufikia mlango aligeuka tena kuangalia mazingira kisha akaweka sikio mlangoni kama mtu anayesikilizia kitu kutoka chumbani humo lakini hakuambulia kusikia chochote. akakishika kitasa na kukizunguusha taratibu na kwa tahadhari kubwa, mlango ukagoma kufunguka kwani ulikuwa umefungwa kwa ndani. kitendo hicho kikamchukiza sana akajikuta anamlaani Hasina kwa kitendo kile cha kufunga mlango, akajaribu tena lakini hali ikawa ni ile ile, akaamua agonge mlango. kwanza aliangalia kushoto na kulia kuhakikisha kuwa yuko salama kisha kwa kutumia kidole chake cha shahada kilichokunjwa akaanza kugonga taratibu sana na kwa ustadi wa hali ya juu ambapo hata kama ungekuwa mita moja kutoka pale aliposimama ingekuwa vigumu kwako kusikia.
"... unasikia mtoto mzuri, ntakujengea nyumba ntajitahidi nikununulie na gari ili uachane na tabu za kutembea kwa miguu unasikae?.. nataka nikufanye uwe nyumba ndogo yangu unizalie hata mtoto mmoja..." ilikuwa ni kauli ya mzee Bisu akimwambia Hasina huku akiwa amemkumbatia wakiwa kitandani. Haina alikuwa na furaha ya ajabu kuona kwamba anataka kutoka katika maisha ya kuwa mfanya kazi wa ndani na kuwa mke wa mtu na anayemiliki nyumba na gari. alikuwa akiona raha sana. lakini ghafla Hasina alishtuka kutoka katika ndoto hiyo aliyokuwa anaota akiwa amekumbatiwa na mzee bisu. alijisikia vibaya sana baada ya kushtuka kwani furaha aliyokuwa ameipata baada ya kuahidiwa kujengewa nyumba na kununuliwa gari ilikuwa ni kubwa, lakini ghafla akajikuta yuko pale pale kwenye kitanda chake anacholalia kila siku tena akiwa peke yake. alijaribu kuitafakari ndoto ile na nini maana yake.
akiwa katika kutafakari ghafla akasikia kama mlango wake ukigongwa, tena mgongaji alikuwa akigonga taratibu sana ambapo kama asingekuwa makini asingesikia kitu. akaongeza umakinini kusikiliza, mgongaji alikuwa akiendelea kugonga kwa umakini wa hali ya juu. alijiinua kutoka pale kitandani na kuusogelea mlango taratibu huku akiendelea kusikiliza kwa umakini. alipoufikia, hakufungua bali alisikiliza huku akijitahidi kuchungulia kupitia kwenye tundu la ufunguo lakini hakuweza kuona kitu kwani mgongaji alikuwa amesimama palepale jirani na tundu la unguo ukichangia na kijigiza kilichokuwa sebuleni hapo ndio kabisa hakuweza kuona kitu. baada ya kuona kuwa alikuwa vigumu kumuona mtu aliyeko nje akaamua kuuliza kwa kutumia sauti ya chini ambayo iliweza kusikika upane wa pili wa mlango huo na kumfikia vema mzee Bisu.
"... wewe ni nani?.."
kabla ya kujibu mzee bisu aligeuza shingo kuangalia kulia na kushoto kisha akauelekezea mdomo wake kwenye tundu la ufunguo nakutamka wa sauti ya kunongona.
"... ni mimi mzee Bisu..." Sauti ilikuwa chini na ya kunongona lakini ilipenya vema kupitia tundu la ufunguo na kumfikia Hasina.
Kwanza Hasina alishituka kusikia kuwa aliyekuwa anagonga mlango alikuwa ni mzee Bisu kwani muda mfupi tu uliopita alikuwa akimuota, akaduaa kama kwa dakika tatu akitafakari nini afanye, afungue au asifungue, asipofungua itakuwa kasheshe kwani mzee Bisu atahisi kuwa amedharauliwa na akifungua hakuna kingine kitakachofanyika zaidi ya kile walichokifanya siku iliyopita lakini baada yakutafakari kwa muda akaamua kufungua kwani kama kufanya mbona mara ya kwanza walifanya na mambo yalikuwa poa tu, mlango ulipofunguka tu alikutana na mzee Bisu akiwa katika nguo zake za mazoezi. baada ya mlango kufunguka mzee bisu hakutaka kupoteza hata sekunde moja aliingia ndani moja kwa moja huku akiwa kamshikilia Hasina mabekani kwa mtindo kama wa kumsukuma ili ampishe mlangoni  aingie. baada tu ya kuingia aliufunga mlango kwa nyuma yake tena kwa komeo zote na bila kuongea neno akaongoza moja kwa moja kwenye kitanda cha Hasina akakaa na huku akimuangalia Hasina aliyekuwa bado kasimama jirani na mlango na huku akimuangalia mzee huyo  aliyekuwa kajawa na uchu wa ngono.
siku zote akiwa amelala Hasina huakikisha kuwa hana hata kipande cha nguo mwilini mwake, hiyo ndio huwa kawaida yake kwani anaamini kuwa akilala bila nguo yoyote hujisikia vizuri sana. hivyo alipoamka kwenda kufungua mlango alikuwa hana nguo yoyote mwilini mwake zaidi ya shukua tu aliyokuwa kajifunga kwa mtindo wa kuizunguushia kuanzia mabegani hadi chini. alipofungua mlango na mzee Bisu kuzama ndani hadi kitani Hasina alikuwa bado nashuka lake na akiwa kasima palepale jirani na mlango. baada ya kuangaliana kwa muda kama wa dakika moja nzima bila yeyote kuongea neno, mzee bisu aliinuka taratibu na mkusongelea Hasina pale aliposimama akamshika mkono na taratibu akaanza kumvutia pale kitandani...

NINI KITAENDELEA?
USIKOSE SEHEMU YA 16

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

© Copyright MO Design
Back To Top