Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MAM'DOGO LISA SEHEMU YA 17


MO


ILIPOISHIA SEHEMU YA 16

... Mzee Bisu alikuwa akiongeaongea na kuhemea juujuu kwa maraha aliyokuwa akiyapata, hali ilikuwa ni taa sana kwake, akaanza kuomba mechi ianze.
"... Hasina mke wangu... na... na... naomba..."
Hasina aliinua kichwa akamuangalia kwa macho yake yaliolegea kama alikuwa anakula kungu...


SASA ENDELEA NA SEHEMU YA  17

... akatabasamu kisha taratibu akajiinua na kulala juu ya kifua cha mzee Bisu akaanza kumbusu shingoni kisha kwenye shavu la kushoto taratibu tena akajiinua na kumkaliaa juu mzee Bisu huku akiwa katanua miguu kama aliyepiga magoti na mzee bisu akabaki kuwa katikati ya mapaja yake, taratibu akaupeleka mkono wake na kumshika sungura wa mzee bisu na taratibu akaanza kumuingiza ndani ya pachi pachi lake mpaka pale alipofika alipopataka yeye. akaanza sasa kucheza mchezo wa kupanda na kushuka na huku akiizungusha nyonga yake taratibu ikiendana na mlio wa kilio cha mahaba kilichokuwa kikimtoka kwa sauti ya kubana na iliyotokea puani.
Mzee Bisu yeye alikuwa akitweta kwa maraha aliinua mikono yake na kukishika kiuno cha Hasina na yeye akaanza kumsaidia kwa mchezo wa kuinua kiuno chake taratibu na kukishusha na huku akiunguruma kwa raha.
haikuchukua hata dakika mbili mzee Bisu akawa amepasua dafu na kumuacha Hasina akiwa bado kabisa.
Katika wakati wote huo ambao walikuwa wakifanya michezo hiyo na kupeana maraha, hakuna kati yao ambaye alikuwa akifikiria kitu chochote zaidi ya kile walichokuwa wanakifanya. lakini mara tu baada ya mzee Bisu kuvunja dafu na kutulia kidogo huku akiwa anashikwashikwa na Hasina aliyetaka kumpandisha tena mzuka ili apewe tena angalau na yeye afike pale alipopataka, hapo ndipo mze bisu alishituka na kukumbuka kuwa alikuwa chumbani kwa mfanyakazi wake tena jua likiwa tayari limeanza kuchomoza.
alikurupuka toka pale kitandani na kuzikimbilia nguo zake za mazoezi pale zilipokuwa na kuanza kuvaa harakaharaka huku Hasina akimkodolea macho ya uchu. Akiwa anaendelea kuvaa ndipo aliposikia kama mtu akitembea sebuleni, mapigo ya moyo yakaanza kumuenda mbio na kuanza kubabaika asijue nini cha kufanya, kwani aliamini kuwa aliyekuwa akitembea pale sebuleni atakuwa ni mke wake tu, na kama ni mke wake basi atakuwa amekwisha kwani litakuwa ni fumanizi la mwaka, atatokaje mle chumbani kwa mfanyakazi wake wa ndani, akionekana anatokea humo wakati kila mtu mle ndani anajua kuwa yuko mazoezini watamuangalia kwa macho gani na ataulizwa alikuwa nafanya nini katika chumba cha mfanyakazi wakati sio kawaida yake kuingia katika chumba hicho, tena asubuhi mapema kama hiyo ambayo hatamfanyakazi huyo ambaye ndio huwa wa kwanza kuamka bado hajaamka.
akaangalia huku na huku mara macho yake na macho ya Hasina vikakutana akamkodolea macho kama ndio ilikuwa mara ya kwanza anamuona wakati dakika kadhaa zilizokatika alikuwa akila naye raha.
"... yaani we umekaa tu hapo unanikodolea macho badala ya kufikiria ni jinsi gani mimi naweza kutoka humu?.."
aliongea mzee bisu kwa sauti ya chini ila yenye gadhabu kidogo. ni kama alikuwa amemkurupusha Hasina kwani alionekana kama kuzama katika lindi la mawazo, kuna vitu vilikuwa vinamsumbua katika akili yake, kwanza alikuwa akisumbuliwa na ile hali aliyoachwa nayo ya kuto kuridhika kimapenzi, alikuwa akitamani angalau kama wangeendelea tena kidogo ili na yeye afike pale alipopataka lakini pia alikuwa anajiuliza itakuwaje kama mtu yule aliyesikika akitembea sebuleni atakuwa ni mke wa mzee Bisu, itakuwaje kama akigundua kuwa mume wake alikuwa anakula uroda na mfanyakazi wake wandani, atachukua hatua gani?..
kwanza ni kipigo kisha kutimuliwa kama mbwa kitu ambacho yeye mwenyewe hakutaka kitokee, ni jana tu ndo ametoka kununuliwa nguo mpya na za kisasa ambazo akizivaa na yeye ataonekana mtu katika watu, ataonekana msichana kama wasichana wengine wa mjini wanavyoonekana, sasa leo afungishwe virago na kurudi tena kwao...
Alikurupuka toka pale kitandani akauchukua upande wakanga uliokuwa  umening'inizwa pale kitandani akajifunga, akasogea mlangoni akaanza kuchugulia kupitia tundu la funguo lakini hakuona mtu akatega sikio kama atamsikia tena yule mtu aliyekuwa akitembea wala hakumsikia, akakinyonga kitasa cha mlango na kuufungua mlango kisha akatoka. macho yale yakagongana moja kwa moja na macho ya Dennis mtoto wa mwisho wa mzee Bisu aliyegeuka Ghafla baada ya kusikia mlango wa chumba cha Hasina ukifunguliwa, Dennis alikuwa kakaa sebuleni pale akiangalia taarifa ya habari.
kama Hasina asingekuwa makini angegundulika kwani mara tu baada ya kukutanisha macho na Dennis alishituka kwani hakutegemea kama angemkuta dennis pale akamuwahi na shikamoo.
"... Shikamoo kaka Dennis..."
"... marahaba dada, umeamkaje?.."
"... sijambo..." akatembea taratibu akapita nyuma ya Dennis na kuelekea msalani ambako hakuchukuwa muda akarudi na kuingia tena chumbani kwake akimuacha Dennis akiendelea kuangalia Taarifa ya Habari. alimkuta mzee Bisu akiwa kajibanza nyuma ya mlago.
"... ni nani yuko hapo sebuleni?.." alihoji mzee Bisu tu baada ya Hasina kuingia na kuurudisha mlango.
"... ni kaka Dennis..."
"... anafanya nini hapo sebuleni?..."
"... anaangalia taarifa ya habari..."
"... aghrr... huyu mtoto naye mbona anakuwa mjinga sana, anaangalia taarifa ya habari saa hizi ya nini?.." alijikuta akiropoka kwa jazba.
Hasina yeye alibaki kumkodolea macho tu akimshangaa kwa swali lake hilo, alimshangaa kwa kuwa kila siku yeye ndo huwa anamlazimisha mwanaye kuangalia taarifa ya habari ili ajue dunia inakwendaje eti leo anamlaumu kwa kuangalia taarifa ya habari, ama kweli siku ya ndege kufa miti hutereza.
jua lilikuwa likizidi kupanda na muda sio mrefu mke wake angeamka, na kama kawaida yake akiamka tu huwa anakwenda kukaa pale sebuleni kwa muda ndipo aendelee na mambo mengine, sasa kama akiamka mke wake mambo ndo yatazidi kuwa mabaya zaidi.
"... sasa tutafanyaje Hasina maana huyo hatoki hapo mpaka taarifa ya habari iishe..." aliendelea kuhoji Mzee Bisu. Hasina ahakuwa na jibu zaidi ya kukaa kimya na kuendelea kutafakari.

JE, WATAFANIKIWA KUTOKA AU NINI KITATOKEA KAMA DENNIS AKIGUNDUA KUWA BABA YAKE ALIKUWA CHUMBANI KWA HOUSE GIRL?

USIKOSE SEHEMU YA 18

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

2 Maoni

Ni balaa mo design, tunakupongesa sana man. ni wachache wenye kubuni na kutuonesha ubunifu wao.

Reply

thanks Bongo Central...

Reply

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top