Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

JIINI "KIFO CHA WASANII ACHARUKA - MASELE CHA POMBE MAUTIUTI

Masele chapombe

Kuna taarifa kuwa mchekeshaji wa sinema za KOMEDI ajulikanaye kwa jina la MASELE CHAPOMBE amepata ajali huko mjini Tanga na hali yake sio nzuri.

Akizungumza kwa njia ya simu katibu wa shirikisho la filam Tanzania Mzee Makatu au kwa jina maarufu mzee CHUMO amesema kuwa masele alikuwa anaendesha gari lakini bahati mbaya akamgonga mtu na baada ya hapo alijaribu kukimbia na kujificha ndani ya nyumba moja iliyokuwepo jirani na endeo la tukio, raia wakajaribu kumtoa ili wampige lakini wakakuta kuwa naye hali yake sio nzuri yaani kuwa aliumia na ajali hiyo.
Msanii mwengine wa filam aliyethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ya Masele ni KULWA KIKUMBA
( DUDE) ambaye amesema kuwa ni kweli masele amepata ajali na hali yake sio nzuri.
MO Design tutaendela kukuhabarisha nini kinaendelea kuhusiana na ajali hiyo

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

4 Maoni

Pole masele jamani, utapona tu mwenyezi Mungu akulinde

Reply

Thanx wewe kwa maoni yako, tumuombee

Reply

Habari yako, tumuombee rafiki yetu

Reply

Haya Musa

Reply

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top