Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

PAMOJA NA OPRAH (IRENE UWOYA)

Muigizaji bora wa kike Tanzania kwa mwaka huu 2013 Irene Uwaoya (Oprah) akiwa na baadhi ya wadau wa filam nchini. kushoto ni MO anayefuata huyo ambaye kama ameibia picha ni Dennis Ngakokwa wa 5Effets, kulia ni Wema Sepetu Feki na nyuma kabisa ni Edwin Kileo au BIG Master of Subtitles.
Hii ni Picha ya pamoja wakiwa ndani ya ofisi za 5effcts.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top