Aliyekuwa Miss Tanzania 2006 na Msanii wa Filamu Wema Isac Sepetu anatisha kwa kuwapanga wanaume bila kuona kuwa Jamii inamuangalia na ukizingatia kuwa yeye ni Kioo cha Jamii.
Hivi karibuni wema alikuwa ni mpenzi wa kwake Diamond Platinum na mara kwa mara alikuwa akimuita kwa jina la beby hata kwenye vyombo vya habari, lakini sasa ameonekana kumpata beby mwingine ambaye naye ni msanii wa Bongo flava na Producer Bob Junior.
alipobwagana na Diamond ilisemekana kuwa Wema amepata bwana mwingine na baadhi ya picha za bwana huyo zilionekana kwenye vyombo vya habari na mitandaoni vilionesha, miezi miwili haijapita leo anaonekana na Bob junia... tuseme hili ni pepo la kupenda ngono au pepo la ufuska?
Tukirudi ntuma tunakutana na idadi kubwa ya wanaume aliokuwa akitoka nao wakiwemo Marehemu Steven Kanumba, Charles Baba, Jumbe na wengine wengi.
na kama wote wataitwa beby atakuwa na akina baby wa ngapi?
je, ni nini mwisho wake?
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.