Hali ya amani nchini Congo ni ya kutisha sana kwani watu wanakufa kulingana na machafuko yanayoendelea mpaka hivi sasa.
habari zinasema kuwa raia wameamua kusimama kidete na kupigania nchi yao kwa vile inaendeshwa vibaya na kuanza kumlalamikia rais Joseph Kabila.
Vurugu hizo zilizaa maafa makubwa ambapo inasemekana raia wengi wamepoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa.
habari zinaendelea kuelezea kuwa baadhi ya vionozi nchini humo waliamua kuungana na wananchi kama inavyoonekana kwenye picha na kufanya maandamano ya kusitisha mauaji hayo yanayoendelea.
katika vurugu hizo mali nyingi zimeharibiwa ikiwemo nyumba ya Mwanamziki maarufu wa Congo Koffi Olomide.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.