Mungu inusuru nchi ya congo, hebu tazameni kwa macho yenu jinsi watu, raia wanavyouwawa kwa bunduki, tena bila kusita wala kuona huruma... mungu ainusuru nchi yangu isije ikafikia hapa.
tukio hili lilitokea siku ya jumapili, askari wanawamiminia risasa raia kama Rambo apambanavyo na maadui zake kwenye Movie.
Inasikitisha sana
Endelea kuafuatilia modesigntz beste wangu wa ukweli nami ntaendelea kukuletea kila habari ninayoipata.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.