Hii Dunia sijui inaelekea wapi, na sijui mwisho wake ni nini... lakini nahisi nakosea kuilaumu Duniaila wanokaa katika hii Dunia ndio wanafanya ionekane ya ajabu. Binaadamu tumebadilika sana, na hatuna tofauti na wanyama sasa hivi, kwani haiingii akilini mtu kwa akili yako timamu kabisa ufikie uamuzi kama alioufikia huyu mama.
Huko mkoani Tabora katika Kat ya Chemchem, mama huyu ambaye jina lake halikuweza kufahamika, aliwauwa watoto wake wawili na kuwazika kabisa eti kwa vile alikimbiwa na mume wake na yeye hana uwezo wakuwatunza hivyo akaamua awauwe kisha awazike ili abaki peke yake.
hii kweli ni akili ya kibinaadamu au ya kinya?
watanzania tunakwendda wapi?
Endelea kufuatilia modesigntz beste wangu wa ukweli nami ntaendelea kukuhabarisha kwa kila ninachokipata
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.