Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

WEMA SEPETU AMPELEKA DIAMOND POLISI


Meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martnin Kadinda amekanusha habari ya Wema kumpeleka polisi Diamond kwa kumtapeli shilingi milioni 10, iliyochapishwa leo kwenye Gazeti la Mtanzania
Martin amesema kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo. 
... “Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” ... amesema Martin. .. “Kwa sababu taarifa ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwa hiyo sisi tunamtafuta nani ameianzisha hiyo stori.
... “We don’t have any issue with Diamond. Diamond hana issue yoyote na Wema,” amesisitiza. 




“Kwa hiyo tunashangaa ni kama ambavyo wanazusha sijui kafumwa na nani ni uongo mtupu. Lakini nashangaa media ambazo zinaaminika zinaamua kuandika story bila kumpigia simu mhusika au meneja na kuuliza ukweli wa hiyo story.” Martin Alimaliza.
Na hili ndilo gazeti liloandika story hiyo

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top