Katika kile kinachotupa uhakika sasa kuwa kweli Zari wa Diamond Platinumz the Boss Lady ni mjamzito na kweli Diamond anaelekea kuwa baba, katika ukurasa wake wa Instagram, Diamond ametupia picha ikimuonesha akiwa katika duka la kununulia midoli ya kuchezea watoto, akikusanya na kununua midoli.
katika picha nyingine anaonekana akiwa amebeba mifuko miwili iliyosheheni midoli hiyo ya kuchezea watoto kisha akaandika maneno haya..." Ushamba huu, eti nimeanza kununua vitoy vya kuchezea..."
picha hiyo na kauli hiyo imesindikizwa na comment nyingi sana, zaidi ya 1560. yingine zikimpongeza na nyingine zikimwambia aache papara...
Endelea kufuatilia modesigntz Beste wangu wa ukweli, na mimi ntaendelea kukusogezea kila story inayonifikia...
PIA USIKOSE KULIKE PAGE YETU ILI NA WEWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZETU ZIWE ZINAKUFIKIA MOJA KWA MOJA
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.