Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MAAJABU MENGINE YA AFRIKA KIJANA MDOGO ATENGENEZA NDEGE


George Mel ni kijana mdogo wa kiafrika mkazi wa mji wa Juda nchini Sudan mwenye ndoto za kuja kutengeneza ndege na kuirusha.
Toka alipokuwa mdogo George alikuwa na ndoto za kuja kuwa Rubani, lakini ndoto zake zilikatishwa na kifo cha baba yake aliyefariki wakati Geaorge akiwa bado masomoni.
Alikuwa akisoma nchini Uganda lakini kabla hajamaliza masomo yake baba yake alifari hivyo akakosa pesa ya kuendelea kulipia masomo yake na kuamua kurudi nyumbani kwao ambapo aliamua kuendeleza ndoto zake kwa kutengeneza Ndege yake.


George anasema ndoto za kutengeneza ndege yake zilikuwa katika akili yake toka alivyokuwa mdogo kwani aliwahi kujaribu kwa kufunga mapazia pamoja na vyuma akapanda juu ya nyuma na kuruka kwa kufikiria kama engeweza kuruka kama ndege lakini haikuwezekana kwani kidogo avunjike mguu kwa jaribio hilo la utotoni.
Anasema siku zote alitamani kuwa mwanaanga lakini ndoto zake zilikatishwa na msiba wa baba yake. lakini hakukata tamaa aliendelea kufanya reasach mpaka alipofanikiwa kutengeneza ndege hii ambayo bado anaendelea kuikarabati


George anakuonesha chumba hiki kuwa ndio chumba chake cha kulala lakini anakitumia hiki kufanyia reasach kwani hana sehemu ya kutosha ambapo angeweza kufanyia kazi hizo. sasa hivi Geaorge Mel ameajiriwa na kampuni inayojihusishwa na mambo ya anga nchini kwao Sudan

Endelea kufuatilia modesigntz kwa habari motomoto, na mimi ntaendelea kukusogezea kila habari inayonifikia best wangu...

USISAHAU KULIKE PAGE YETU ILI NAWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZETU ZIKUFIKIE MOJA KWA MOJA...

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top