Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

ZARI WA DIAMOND AMJIBU WEMA SEPETU KUHUSU UJAUZITO WAKE


Mrembo na mjasiliamali kutoka Uganda ambaye ni mpenzi wa sasa wa mbongofleva Diamond Platnumz, Zari Hassan  ( the Boss Lady) ameonekana kushangazwa na kitendo cha mwigizaji Wema Sepetu kukejeli ujauzizo alionao ambao amepewa na Diamond ambae alikuwa mpezi wa Wema. 

Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandaoni kuwa wao hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli  yanayosomeka ‘Mimba My Foot” 

Lakini katika habari hiyo ya Ujauzito wa Zari, Mama yake wema alionekana kufurahia japo Wema Sepetu mwenyewe anaonekan kukereka.

Kitendo hicho kikamfanya mwana Zari kuamua kujibu kwa maneno “Astagafululah…..sometimes we have to wish people good ....this is too much”

kwa tafsiri rahisi tu ni kwamba Zari alimaanisha kuwa wakati mwingine unatakiwa umuombe mtu mema hata kama unamchukia...

Endelea kufuatilia modesigntz, beste wangu wa Ukweli na mimi ntaendelea kukusogezea kila habari itakayonifikia...

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU ILI NAWE UWEMWANAFAMILIA NA HABARI ZETU ZIKUFIKIA MOJA KWA MOJA...

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top