Mtu mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amemchinja mke wake, kikatili na kumpasua maeneo ya mbavu na kifua hadi moyo kutoka nje.
habari zilizotufiia zina sema kuwa mtu huyo alimuua mke wake kwa kile kinachosemekana kuwa ni wivu wa kimapenzi.
habari kutoka kwa chanzo chetu zinazidi kusema kuwa jamaa alikuwa na wasisi kuwa mke wake alikuwa na mwanamume mwingine hivyo wivu wa mapenzi ukawa unamsumbua kila siku. Siku ya tukio mtu huyo alimuambia mkewe watoke na kuwa siku hiyo watalala hotelini badala ya nyumbani.
Chanzo chetu kinasema kuwa mke alizipokea habari hizo kwa shangwe kwani kwake aliona kama mume wake aliamua kumfanyia saprizi. kweli walitoka na kwenda kujivinjari katika Hoteli ya Freinds Corner Magomeni Kagera ambapo walifanya yao huku mke akiwa na furaha,masikini hakujua kuwa ilikuwa ni furaha yake ya mwisho katika maisha yake.
Inasemekana kuwa raha zilipowazidia ndipo jamaa alipoamua kutimiza klie kilichompeleka pale. mpaka hivi sasa mtu huyo anashikiliwa na polisi na uchunuzi unaendela.
Endelea kufuatilia modesigntz beste wangu wa ukweli, nami ntaendelea kukuletea kila story inayonifikia.... pia usikose kulike page yetu ambayo ni modesign... unaweza pia kunifollow Instagramme kama Mo_designtz...
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.