Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

BEYONCE ATIA FORA NA VAZI LINALOUONESHA MWILI WAKE KWENYE RED CAPET... TAZAMA PICHA HAPA...



Mke wa mwanamziki maarufu duniani JAY Z a.k.a Jigga, na ambaye ni mwanamziki maarufu nchini Marekani, Beyoncé Knowles mwenye Umri wa miaka 33, ametia for a na kuwaacha wengine wote waliohudhuria maonesho ya red capet kwa kivazi chake kinachomuonesha maungo yote ya mwili wake.


Beyoncé aliyeongozana na Mume na baba wa watoto wake katika maonesho hayo, alipivalia kigauni cha kinachouonesha mwili wake lakini kilichonakshiwa urembo uliokuwa ukiziba baadhi ya maeneo ya mwili wake. alikuwa kivutio zaidi hadi baadhi ya watu wakahisi kuwa onesho hili lililoandaliwa na Director Reccardo Tisci liliandaliwa kwa ajili yake. katika onesho hilo Beyoncé na Jay z walionekana kuwa couple bora kwa siku hiyo.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top