Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

ILE NGOMA ILIYOWAKUTANISHA DIAMOND NA MAREHEM PAPA WEMBA KUACHIWA... IPO HAPA TAREHE YA KUACHIWA...



Ile ngoma iliyo kuwa inasubiriwa kwa muda murefu sana na wadau wa muziki iliyomshirikisha mwanamuziki mkongwe wa Nchi ya Kidemocrasia ya watu wa Kongo DRC Papa wemba na Mwanamuziki wa miondoko ya Bongo flava Nchini Tanzania Diamond Platnumz, sasa imeshapangiwa siku rasmi ya kuachiwa ambayo ni tarehe 24 juni 2016

Ngoma hiyo ambayo ilikuwa ni moja ngoma zilizokuwa zikiandaliwa kuwa katika Ablum yake mpya iliyopewa jina la De generation en generation, ikimaanisha Vizazi kwa Vizazi, ilirekodiwa chini ya lebo ya Contos Music.

HIKI HAPA KIPANDE KIKIWAONSHA DIAMOND NA PAPA WEMBA WAKIWA STUDIO

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top