Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

IKO HAPA VIDEO, JINSI NEYMAR ALIVYOIPATIA BRAZIL MEDALI YA DHAHABU OLYMPIC KATIKA SOKA...

Wakati Ligi Kuu mbambali dunia zikiendelea August 20 2016, katika uwanja wa Maracana Rio de Janeiro Brazil timu ya taifa ya nchi hiyo inayoshiriki Olympic ilicheza mchezo wa fainali ya Olympic dhidi ya timu ya taifa ya Ujerumani, huu ulikuwa ni mchezo ambao ulihudhuriwa na mwanariadha wa Jamaica Usain Bolt.
3771434C00000578-3750855-image-a-22_1471731580217
Neymar do Santos amefanikiwa kuiongoza timu yake ya taifa kutwaa medali ya dhahabu ya kwanza katika historia ya mashindano ya Olympic kwa mchezo wa mpira wa miguu, ushindi huo dhidi ya Ujerumani utafsirika kama ni kisasi kwa kutokana na kuwahi kufungwa 7-1 miaka miwili iliyopita katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la dunia.
5114 - Copy
Brazil ambao wamewahi kutwaa mataji mengi ya soka wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa penati 5-4 hiyo ni baada ya mchezo kumalizika katika muda wa kawaida wakiwa sare ya goli 1-1, magoli ambayo yalifungwa na Neymar dakika ya 26 na kwa upande waUjerumani Max Meyer dakika ya 59, Brazil wamewahi kuikosa medali ya dhahabu ya Olympic katika vipindi vitano tofauti.
37720FE000000578-3750855-image-a-63_1471738393733
VIDEO HII HAPA

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top