DAR ES SALAA: Uongozi wa Klabu ya Yanga, umelezimika kumuangukia barua aliyekuwa kocha wake, Hans van der Pluijm, na hiyo hapo juu ni barua ambayo uongozi wa klabu hiyo umemuandikia kukataa ombi lake la kutaka kujionda au kuachia ngazi.
Pluijm aliandika barua hiyo kujizulu Oktoba 22, 2016 baada ya Yanga kuamua kufanya mazungumzo na Kocha George Lwandamina ambaye ni raia wa Zambia.
Ili kumrejesha Hans van Pluijm ndani ya klabu hiyo, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mh. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na kocha huyo kumsihi kutojiuzulu nafasi ya Kocha Mkuu wa Yanga.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.