Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa wawili Lameck Bazil na Pankras Minago kwa kumuua albino Magdalena Andrea. Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Firmin Matogolo baada ya kuridhika na ushahidi kuwa watu hao ndiyo waliohusika na mauaji ya mlemavu huyo ambaye ni mkazi wa Wilaya ya Biharamulo mwaka 2008.
Credit:Fahari News
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.