Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MAAMUZI YA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU RC MAKONDA...



Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kuvamia ofisi za Clouds TV na kuwalazimisha watangazaji wa kipindi cha Shilawadu kurusha kipindi kinachomuhusu Askofu Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kikiwa hakijakidhi vigezo vya habari ambapo ni kinyume na taaluma ya habari. Leo March 22, 2017 Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limefanya kikao cha maamuzi dhidi ya suala hilo.
TEF pamoja na Club ya Waaandishi wa Habari Dar es saalam (DCPC) na Umoja wa Club za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) zimepitisha maamuzi matatu ikiwemo.
  1. Kulaani vikali vitendo vya RC Paul Makonda
  2. Kutoandika na kutangaza habari zozote kuhusu Paul Makonda kwenye chombo chochote cha Habari.
  3. Kumtangaza RC Makonda kama adui wa Uhuru wa Vyombo vya Habari pamoja na yeyote atakayeshirikiana naye.
Unaweza kusoma kila kitu kwenye tamko hili hapa chini.


View image on Twitter

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top