Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

DAMU TULIZA MOYO... SONGI JIPYA...



Jina la Mussa Sikabwe ni jina ambalo liko kwenye Tasnia ya Muziki kwa Muda mrefu Tanzania na Afrika Mashariki kwa Ujumla. Ni miongoni mwa wanamuziki wakongwe ambapo alikuwa akitambulia kama Mose P.
Pia ni Muimbaji ambaye alisha fundisha na kuimbia kwaya na waimbaji mbali mbali nchini vilevile akiwa kama Producer wa Muziki ambaye  amesaidia kuwafundisha Maproducer wengi.
Wengi walimshauri sana kutoa albumu yake akiwa kama muimbaji binafsi lakini yeye alikuwa bado hajawa tayari kwa sababu ambazo hajapenda kuziweka wazi.

Hata hivyo mwanamuziki huyo kwasasa ameamua kuja na (Single)ya wimbo uitwao DAMU TULIZA MOYO ambao umeweza kufanya vizuri ndani ya Tanzania na nje ya Nchi.

Mussa yuko tayari kwa mialiko na huduma mbalimbali... wasiliana naye kwa no. 0674 411 705

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top