Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

TANZIA: BABA WA BELLE 9 AFARIKI DUNIA... CHONZO CHA KIFO CHEKE KIKO HAPA...

MSANII wa Bongo Fleva nchini Abelnego Damian, ‘Belle9’, amepata pigo baada ya kuondokewa na baba yake mzazi Damian Nyamoga.
Meneja wa Belle9, Jahz Zamba amethibitisha taarifa hiyo huku akieleza kuwa mzee Damian amefariki dunia kwa kugongwa na bodaboda iliyokuwa kwenye mwendo mkali huko mjini Morogoro  ambako alilikuwa akiishi.
Jahz amfunguka kuwa ni pigo kubwa kwa Belle 9 kumpoteza baba yake kwa kuwa mara nyingi amekuwa akidai kuwa baba yake ni mwalimu muhimu katika maisha yake. Staa huyo anayetokea Morogoro amelikuwa na mahusiano mazuri na baba yake kama mtu na rafiki yake.
Msiba Upo nyumbani kwa marehemu Morogoro mjini alipokuwa akiishi.
Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi "ameen"

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top