
Mwanamuziki na star wa kizazi kipya Tanzania Nassib Abdul au Diamond plutnamz ametimiza azma na ahadi aliyoahidi ya kufunga ndoa na kuishi kinyumba na Zarinah Hassan (Zari).
Habari zilizosambaa na kuzagaa mitandaoni kuanzia august 29 ni kuwa ninyumbani kwa Diamond Plutnumz kuna shamra za Harusi zinazoendelea. Madufu yanasikika, shangwe na vigeregere vinasikika. ni dhahiri kuwa kinachoendelea ni kile alichokisema Diamond kuwa anampenda sana Zari na lazima awe mke wake.

MO Design tunaendelea kufuatilia kwa makini na ili kuwathibitishia kuwa ni kweli pilau limewiva Madale kwa Diamond.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.