Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

UNABII UMETIMIA: HATIMAYE DIAMOND NA ZARI WAFUNGA NDOA - MCH. MASHIMO




Mchungaji ambaye amekuwa akitoa Unabii na unatimia, Mchungaji Commando Mashimo, amefunguka na kusema kuwa unabii umetimia, hatimaye Diamond na Zari wamefunga ndoa.
Akiongea na Mwanahabari wetu Mchungaji Mashimo alisema kuwa, kabla ya ndoa hii alishatoa unabii kuwa wakati wa Nasib Abdul au Dimond na Zarinah hassan au Zari umeshatimia na ndoa yao itafungwa hivi karibuni, na kweli imetokea.

Habari za kufunga Ndoa kwa Diamond Na Zari zimekuwa zikisambaa katika mitandao ya kijamii na picha mbalimbali zikionesha shamra zilizokuwa zikiendelea Madale Nyumbani kwa Diamond, zinathibitisha kufungwa kwa ndoa hiyo ya mastar hao wa Tanzania na Uganda.



Mchungaji Mashimo amesema kuwa unabii wake ulitoka kabla ya jambo hilo kufanyika yaani tarehe 24 na 27 ya mwezi huu wa nane 2017. na ndoa inasadikika kufungwa tarehe 29 mwezi huu wa nane. alisisitiza kuwa kama unapenda kupata uhakika wa jambo hilo waweza kulithibitisha kupitia page zake za Facebook na Instagram.

Mchungaji Commando mashimo ni Mchungaji ambaye amekuwa akitoa unabii wa mambo mbalimbali na kwa watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali na unabii huo ukatimia,.. alitabiri ushindi wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kweli alishinda, alitabibiri ushindi wa Mh. Tundu Lissu (Mb) kuwa Rais wa TLS na kweli alishinda, lakini pia aliwahi kumtabiria matatizo yatakayomkuta kabla ya kushinda nafasi hiyo na kweli yalitokea. wapo wengi aliowatabiria na yakatimia.
amesema ukitaka kuthibisha zaidi kuhusu unabii wake, ingia kwenye kurasa zake za Facebook na Instagram, andika Commando Mashimo utapata uthibitisho, lakini pia anapatikana kwa Watsapp kwa namba. +255 655 223 799.
Ufunuo wa Yohana 10: 10 - 11



BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top