
Taarifa zilizotufikia hivi karibuni kutoka Dodoma ni kuwa Mbunge Singida Mashariki na Rais wa TLS wa Mh. Tundu Lissu amepigwa Risasi na watu wasiojulikana huko Dodoma.
habari zinasema kuwa Mh. Lissu amekibizwa General Hospital ya Dodoma kwa matibabu.
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Freeman Mbowe (MB) Amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.



Tunaendelea kufuatilia kila hatua na tutawajulisha kila kinachoendelea huko dodoma.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.