Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

HII NDIO MAITI YA NDIKUMANA


ALIYEKUWA mume wa muigizaji wa filamu nchini, Irene Uwoya, mchezaji Hamad Ndikumana (katauti) (39) kutoka nchini Rwanda amefariki usiku wa kuamkia leo.

Habari zinasema kuwa Ndikumana ambaye pia alikuwa Kocha msaidizi wa timu ya Lion Sport ya nchini Rwanda, jana tu alikuwa akiendelea na kazi zake kama kawaida, lakini inasemekana kuwa alikuwa analalamika maumivu ya moyo na akaomba kinywaji baridi lakini ghafla akawa anaishiwa nguvu na akaanguka na kufariki dunia.


Mpaka anakutwa na umauti alikuwa akicheza katika timu ya APOP Kinyras Peyias FC ya  Cyprus.  Alizaliwa Oktoba 5, 1978 na mpaka anafariki dunia alikuwa ametengana na Uwoya kwa mengi na alikuwa ndiye mkewe aliyefunga naye ndoa katika Kanisa Katoliki na walibahatika kupata mtoto mmoja  wa kiume anayeitwa Krish.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top