Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

EXLUSIVE: JOHN MNYIKA AJIUDHURU RASMI...



Mbunge wa Jimbo la Kibamba ambaye pia ni Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania bara, John John Mnyika, amejiudhuru katika nafasi yake ya Unaibu Katibu Mkuu Tanzania Bara.

Mnyika ameandika barua hiyo ya kujiudhuru leo tarehe 5 December 2017, na kusema kuwa anajiudhuru wadhifa huo ili aweze kupata muda mzuri wakuwatumikia wananchi katika jimbo lake la Kibamba kwa nafasi zaidi.

Lakini pia amesema kuwa anataka kutoa fursa kwa wanachama wengine ndani ya chama hicho cha CHADEMA kuonesha uwezo wao kiuongozi katika nafasi aliyoiacha.
Mnyika amejiudhuru wadhifa wake huo iliwa ni siku mbili tu zimepita tangu kusambaa kwa taarifa mbalimbali kuwa Mnyika anataka kuhama chama cha Chadema na kuhamia CCM.

 

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top