Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

NICK MINAJ AJIPENDEKEZA KWA LIL WAYNE

Nick Minaj aonyesha udhaifu wake mbele ya Rapper mwenziye na ambaye ni boss wake katika kazi Lil Wayne.
Hii ilitokea wakati wa shooting ya Wimbo wake mpya wa "High School" aliomshirikisha Lil Wayne ambapo Nick Minaj alimuomba Lil Wayne amchezee na kumshikashika kimahaba lakini mwenyewe akawa hataki, alikuwa akicheza naye kikawaida tu.
alimlazimisha sana hata kwa kupitia director wao lakini ilishindikana. Hata hivyo alibahatika mara moja kumpiga busu la mdomoni tu.

"... unajuwa,.. aliniambia kuwa inatakiwa anibusu mdomoni tu kwa vile tukio hilo ndilo litakalosaidia kuuza video hii... lakini mimi nilimtaka anishikeshike wakati wa Shooting lakini alikataa... unajua, Lil Wayne ni mstaarabu sana, ni tofauti na jinsi ambavyo watu wanamfikiria... sio tu kwa kuwa ni Bossi wangu, pia ni kama kaka yangu... alisema Nick Minaj.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

© Copyright MO Design
Back To Top