Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

WOLPER HATAKI TENA MAPENZI

JACQUELINE WOLPER
nyota wa kike wa filam nchini na anayeng'ara kila kukicha Jacqueline Wolper amesema hataki tena mapenzi kwa vile mapenzi yanamsumbua sana.
akiongea na moja ya magazeti yanayotoka mara mbili kwa wiki amesema kuwa hataki kujihusisha na mapenzi sana kwa vile kila anapomtangaza mchumba anapata usumbufu sana.
amesema toka alipo achana na aliyekuwa mchumba wake Dallas, hataki tena kujihusisha na mapenzi badala yake nguvu zake zote anazielekeza kwenye kufanya kazi ambazo ndizo zinazomfanya awe kama alivyo na ambazo zitamfikisha mbali.
amesema kuwa sio kwamba hataki kuwa na mpenzi, ila tu hataki kuendekeza mapenzi tu nakujinadi kwa watu kuwa amepata mchumba mpya.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

© Copyright MO Design
Back To Top