Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

APIGWA MAWE MAWE MPAKA KUFA KWA TABIA YA USHOGA


Mtu mmoja nchini Syria ameuawa kwa kutupwa toka ghorofani mpaka chini kwa sababu ya kuendekeza tabia za kishoga.

Habari zinasema kwamba mtu huyo ambaye anasadikikakuwa na tabia za kuingiliwa kinyume cha maumbile alikamatwa na wanamgambo wa ISIS na kuamua kumtupa toka juu ghorofani hadi chini kwa lengola kumuua kabisa kulingana na kua katika nchi hiyo hawaruhusu vitendo hivyo ambavyo ni vya kishetani


habari zinasema kuwa mtu huyo hakuelewa nini watamfanya baada ya kukamatwa kwani alifungwa na kitambaa usoni ili asiweze kuona. lakini kumbe wanamgambo hao walikwenda na kumtupa toka ghorofani hadi chini. lakini ajabu ni kuwa alipofika chini mtu huyo hakufa.


Habari zinasema kwamba baada ya kugundua kuwa mtu huyo amekuwa nunda, kutoka juu ya ghorofa hadi chini lakini hakufa,wakaamua kummalizia kwa kumpiga na mawe hadi alipoaga dunia.

Endelea kufuatilia modesigntz Beste wangu wa Ukweli, na mimi ntaendelea kukupa kila story inayonifikia

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK "MO Design"
Pia unaweza kunifollow Instagramme kama mo_designtz na mimi ntakufollow back

PAMOJA SANA BESTE WANGU WA UKWELI

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top