Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

BONDIA FRANCIS CHEKA AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3 NA FAINI JUU


Mwanandondi au mwanamasumbwi wa Tanzania Bondia Francis Cheka aishie Mji kasoro Bahari, Morogoro, Leo amehukumiwa kutumikia kifungo cha Miaka 3 Jela na faini ya Tsh Milioni 1 kwa Kosa la kumpiga na kumsabamishia maumivu makali mmoja wa wafanyakazi wake au Meneja wa kwenye bar yake iliyoko mjini Morogoro.


Hukumu ya kesi hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Said Msuya.
Habari zindodosa kuwa upande wa watu walio nyuma ya Francis Cheka hawajakubaliana na hukumu hiyo, hivyo wanajiandaa kukata rufaa.

Endelea kujiunga na modesigntz Beste wangu wa ukweli na mimi nitaendelea kukusogezea kila story inayotuwa kwenye meza yangu...

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK "MO Design"
Pianifollow Instagramm kama mo_designtz na mimi nitakufollow back...

PAMOJA SANA BESTE WANGU WA UKWELI  

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top